Posts

Showing posts from July, 2023

Matatizo ya ki application kwenye simu

Image
  JOAKIM WORK PRODUCTION           TANGAZO KWA WOTE 1. JE WEWE NI MTUMIAJI WA MTANDAO WA VODACOM NA UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZIFUTAZO? a. Ume renew laini yako ya Vodacom iliokuwa na kiasi Cha pesa na hujaona pesa yako kwenye laini yako mpya? b. Unashindwa kutuma au kupokea sms au kupiga simu? c. Unakatwa salio na hujui huduma inayokukata. d. Kushindwa kutumia miamala mbalimbali ya simu? e. Je namba yako imechepushwa bila wewe kujua? (divetion) d.  Changamoto za PUK e. Kushindwa kudhibiti usalama kwenye laini yako? n.k. 2. Kwa watumiaji wa simu kubwa yaani Android phone tunaweka mifumo yote ya usalama kwenye kifaa chako. ... Tunahuisha akaunti za mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter, Instagram, tiktok n.k .... Tunaweka initial setting katika simu aina zote. Tunatengeneza websites, email za makampuni logos, majina ya biashara, matangazo ya  wafanyabiashara na wabunifu wengine. Karibu tupo matamba, NJOMBE, Tanzania. mawasiliano: 0754 465 96...