MASAA MATATU ya hukumu
MASAA MATATU ZA HUKUMU (Three hours for Judgement) Safari Ya Kifo Joakim Chawe +255 754 465 961 Hiki ni kisa kinachofahamika na waliowengi na ni moja kati ya visa vinavyotokea ulimwemguni Ila no mgumu sana kumsimulia mtu mpaka akakuelewa. Inahitaji nguvu kubwa ya kiimani ama ya kufananisha kisa hiki na ushirikina. Nina imani kwamba kisa hiki kitakuwa na ujumbe mkubwa kwa wasomaji wengi. Ni kisa kinacho muhusu kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Emmanuel ambae alikuwa na umri wa miaka ipatayo 25 na kwa kijana huyu ambae alikuwa na umri wa kuoa na alikuwa chini ya imani ya kikristo, Twende sambamba tufuatilie kisa mpaka mwisho wa kisa hiki. MASAA MATATU YA HUKUMU ¶ Imefikia kipindi Cha Mimi kuwa na mwenza, nifanye nini ili nimpate mwenza sahihi katika maisha y...