WATUMIAJI WA VODACOM

 

JE, KIFURUSHI CHAKO CHA INTERNET KINAWAHI KUISHA?

Je,  unajua tupo kizazi Cha tano Cha Kompyuta ambapo teknolojia ya kuperuzi imeongezwa zaidi ya Mara 20 kutoka kizazi Cha nne Cha Kompyuta (4G). Usilolijua kuhusu kizazi  Cha tano Cha Kompyuta (5G)

1.  5G Ni kizazi cha tano Cha Kompyuta kilichoongezewa kasi ya internet Mara 20 zaidi ya kasi ya kizazi cha nne yaani 4G.
2. 5G Ina uwezo wa kutmia mb 100 kwa sekunde pale unapopakua au kupakia taarifa au kitu chochote mtandaoni.
3. 5G Ina uwezo wa kumruhusu mtumiaji wa internet kufanya Mambo mengi mtandaoni kwa wakati mmoja.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUDHIBITI MATUMIZI YAKO YA DATA MTANDAONI.

1.  Hakikisha unaruhusu matumizi ya data pale unapokuwa na shida na kitu fulani mtandaoni.
2. Kuwa makini na vyanzo  (sources) za internet unapokuwa mtandaoni.
3. Usipakue application usioijua matumizi yake.
4. Zuia matangazo kwa kubonyeza alama ya X ukiwa mtandaoni.
5. Punguza baadhi ya subscriptions     kwa source unazozifahamu hasa katika browser ya YouTube au phoenix browser.
6. Zuia notification au alama ya taarifa za matangazo kwa kubonyeza alama ya setting ya kila program au application za kila notification na kisha uzime.

NB: KUISHA HARAKA KWA MB ZA KIFURUSHI HUTEGEMEA MATUMIZI YAKO YA MB. UNAWEZA SPIDI YA INTERNET KWENYE KIFAA CHAKO KWA KUPIGA *149*01# (KWA WATUMIAJI WA MITANDAO WA VODACOM) KISHA 3 ---> CHAGUA INTERNET > SPIDI ya internet. Unaweza kupunguza au kuongeza  spidi ya mtandaoni.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 

website hii.
joakimworkproduction.websites.co.in
joakimworkproduction.blogspot.com
Facebook: Joakim work Production
WhatsApp: 0754 465 961
YouTube: Joakim work Production

Asante sana.

          See you at the top.

Comments

Popular posts from this blog